Karani wa Uendeshaji (Operations Clerks)

TanzaniaTanzania·Dar es Salaammid
Other
0 views0 saves0 applied

Quick Summary

Overview

Muhtasari wa Kazi Tunatafuta Makarani wawili wa Uendeshaji (Operations Clerks) wenye uzoefu wa kuratibu shughuli za kila siku za magari na madereva.

Technical Tools
Other

Tunatafuta Makarani wawili wa Uendeshaji (Operations Clerks) wenye uzoefu wa kuratibu shughuli za kila siku za magari na madereva. Mwombaji anatakiwa kuwa na uwezo wa kusimamia shughuli za usafirishaji, kuwasiliana vizuri na madereva, kutatua changamoto za kiutendaji, pamoja na kuwa na uwezo wa kuendesha pikipiki kwa ajili ya kufuatilia shughuli za uendeshaji.

  • Kuratibu shughuli za kila siku za magari na madereva.
  • Kusimamia ratiba za safari na kuhakikisha magari yanafanya kazi kwa wakati.
  • Kufuatilia mahudhurio na utendaji wa madereva.
  • Kuwasiliana na madereva kuhusu ratiba, mizigo na mabadiliko ya safari.
  • Kuandaa taarifa za kila siku za shughuli za usafirishaji.
  • Kufuatilia matengenezo ya magari na kuripoti changamoto zinazojitokeza.
  • Kutembelea maeneo ya kazi kwa kutumia pikipiki inapohitajika.
  • Kushirikiana na timu nyingine kuhakikisha shughuli zinaenda kwa ufanisi.
  • Kuhakikisha taratibu za kampuni na sheria za usafirishaji zinafuatwa.
  • Kutekeleza majukumu mengine yanayohusiana na kazi utakayopangiwa.

  • Elimu ya Kidato cha Nne, Cheti, Stashahada au zaidi.
  • Uzoefu wa angalau miaka 3 katika shughuli za usafirishaji au uratibu wa magari.
  • Uwezo wa kusimamia madereva na ratiba za magari.
  • Awe na uwezo mzuri wa mawasiliano na uongozi.
  • Awe na leseni halali ya kuendesha pikipiki.
  • Ujuzi wa kutumia Microsoft Office.
  • Uwezo wa kufanya kazi chini ya shinikizo na kutatua changamoto kwa haraka.

10 Agosti 2026

Location & Eligibility

Where is the job
Dar es Salaam, Tanzania
On-site at the office
Who can apply
TZ

Listing Details

First seen
July 29, 2026
Last seen
July 29, 2026

Posting Health

Days active
0
Repost count
0
Trust Level
49%
Scored at
July 29, 2026

Signal breakdown

freshnesssource trustcontent trustemployer trust

3 other jobs at cns-group-limited

View all →

Explore open roles at cns-group-limited.

Newsletter

Stay ahead of the market

Get the latest job openings, salary trends, and hiring insights delivered to your inbox every week.

A
B
C
D
Join 12,000+ marketers

No spam. Unsubscribe at any time.

cns-group-limitedKarani wa Uendeshaji (Operations Clerks)